Liwe liwalo!
Yesu akupenda bila masharti!

Hizi maamuzi 7 mazuri hutusaidia kushiriki upendo wa Mungu
Upendo daima ni:
1. Yenye subira: Mungu anakungoja ufanye uamuzi sahihi
2. Mpole: Mpende jirani yako jinsi unajipenda wewe mwenyewe
3 Mkweli: Waambie wengine kuhusu upendo wa Mungu kwa ajili yao
4 Huvumilia mambo yote: Mungu yu pamoja nawe wakati unapitia magumu maishani mwako
5.Huamini mambo yote: Shiriki upendo wa Mungu na kila mtu
6.Hutumaini mambo yote: Mungu ana mpango maalum kwa ajili ya maisha yako
7 Hustahimili mambo yote: Mungu daima akupenda

Hizi maamuzi 7 mbaya hutuzuia kushiriki
upendo wa Mungu
upendo wa Mungu
Upendo hauna:
1. Wivu: usiwe na wivu kwa wengine
2. Madaha: Usiseme kwamba wewe ni bora kuliko wengine
3 Ubinafsi: Usijaribu kutafuta njia yako mwenyewe
4 Fidhuli: Usiseme au kufanya mambo mabaya
5. Hasira: Usiwe na hasira au ubinafsi kwa mtu yeyote
6. Madharau: Usiwe na chuki.
7 Utundu: Usivunje sheria
1 Wakorintho 13: 4-7

|
|
Maneno ya Wimbo: Liwe liwalo ... Nakupenda bila masharti
Si muda mrefu uliopita kulikuwa na siku wakati niliamini Nilikuwa peke Nililia kwa hofu na nilijawa na aibu Kwa kuwa sikujua upendo na amani iletayo Nilitembea gizani na sikuamini Kwamba naweza kuondoa maumivu haya ya kutisha ........ lakini (Pambio 2x) Liwe liwalo Liwe liwalo Liwe liwalo Nakupenda bila masharti Nikamwomba Mungu aniweke huru Hata hivyo nilikuwa na hofu Kwamba alikua ameniachilia nishindwe Lakini akachukua mkono wangu na kuniambia Liwe liwalo Nakupenda bila masharti Sasa najua kwamba ninapendwa na ni wakati wangu kuangaza tena (Pambio 2x) Liwe liwalo Liwe liwalo Liwe liwalo Nakupenda bila masharti |
Maneno ya Wimbo: Upendo Usio Na Masharti
Baba uliye Mbinguni tafadhali sikiza maombi yetu utufundishe tukupende utusaidie tuwe wenye huduma Mengi yamefanyika ni vigumu kusahau kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi (Kiitikio 2x) Bila masharti, Bila masharti, Upendo bila masharti Ndugu na dada Jinsi gani twasamehe Kutoa machungu yako kwake na kuomba nafasi Anajua matatizo yetu na wasiwasi tulionao Yeye ni jibu mfano maalum (Kiitikio 2x) Tumfuate kwa kupenda jirani yetu tumekuwa huru na Yesu Mwokozi wetu Tumfuate kwa kupenda jirani yetu tumekuwa huru na Yesu Mwokozi wetu (Kiitikio 2x) |