Maombi NINAPOHISI:
Huzuni: Yesu, nahisi huzuni. Tafadhali nisaidie nijue furaha inayokuja na upendo wako. Amina.
Upweke: Yesu, nahisi upweke. Tafadhali nisaidie nijue kwamba upon nami. Amina.
Radhi: Yesu, nisamehe kwa yale matendo mabaya ambayo nimefanya.Nisaidie nitende mema. Amina
Kupendwa: Yesu, asante kwa kunipenda.Nakupenda pia.Amina.
Shukrani:Yesu, asante kwa kunipa yote niliyo nayo na daima kunijali. Amina.
Mgonjwa:Yesu, tafadhali wasaidie wagonjwa wote wapone. Amina.
Uoga: Yesu, tafadhali unilinde na unipe nguvu ili niwe mjasiri.Amina.
Hasira: Yesu,tafadhali nisaidie niwe mtulivu ili niwe na amani.Amina
MAOMBI kwa ajili ya:
Familia: Yesu, tafadhali uwabariki na uwalinde familia yangu. Amina.
Marafiki: Yesu, asante kwa marafiki zangu. Uwabariki.Amina.
MAOMBI Maalum:
Masikini na Wasiokua na makazi: Yesu, tafadhali uwabariki wasiokua na chakula na makazi.
Shida: Yesu, nahitaji usaidizi wako. Tafadhali niaonyeshe jinsi ya kupata usaidizi huo.
Mtu anayehitaji msaada: Yesu, kunaye mtu anayehitaji msaada wako hivi sasa.Tafadhali, tuma uponyaji na upendo wako. Amina.
Kifo: Yesu, uwabariki wale waliokufa na kuja mbinguni. Nisaidie niwe mfuasi wako kila wakati ili nije mbinguni pia.Amina
Maombi ya kila siku
Asubuhi Yesu, tafadhali unilinde na unielekeze siku hii. Ili niwe baraka kwa wengine. Amina
Mlo: Asante Yesu kwa chakula hiki uliyotupa. Amina.
Malazi: Sasa najilaza, naye Mungu alinde roho yangu.Kwa furaha na afya njema, niamke.Kwayo naomba kwa ajili ya Yesu. Amina.
Wakati Wowote:Yesu,asante kwa kunipenda! Nami nilisifu jina lako takatifu. Amina.