Yesu anakupenda!
Acha akujaze moyo wako leo!
Acha akujaze moyo wako leo!

Vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema..
Mathayo 11: 5
Mathayo 11: 5
Hata kwa kile kilichotokea katika siku zilizopita,
wewe ni kiumbe kipya katika upendo wa Yesu!
Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.
2 Corinthians 5:17
wewe ni kiumbe kipya katika upendo wa Yesu!
Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.
2 Corinthians 5:17
Maneno ya Nyimbo: Hakuna kusubiri tena, ni wakati wa kuja nyumbani
Umekuwa mbali kwa muda sasa. Ndivyo kweli Hujaona chochote ila taabu Ulidhani kwamba unaweza kufanya yote mwenyewe. Lakini sasa umegundua Ni wakati wa kuja nyumbani Daima unakarubishwa lakini ulikuwa na hofu kufungua mlango wa Ushindi Sasa ni wakati kuimba kwa sauti kubwa Na kutoa shukrani na kusifu Bwana wetu aliyefufuka. Kwa maana Yesu hutukaribisha sisi sote nyumbani (Pambio) Hakuna kusubiri tena ... Hakuna kusubiri tena Hakuna, Hakuna, Hakuna kusubiri tena Ni wakati wa kuja nyumbani ... Ni wakati wa kuja nyumbani Hakuna kusubiri tena ....Ni wakati wa kuja nyumbani Siamini jinsi nina furaha kupata maisha yangu kujazwa na amani na upendo tena Yesu ni mwokozi wangu na ni rafiki yangu Nakushukuru Bwana kwa sala uliyojibu Nawe ulichukua mtoto aliyepotea na kunikaribisha nyumbani (Pambio) Nakubali kwamba nilikuwa na hofu Kufungua moyo wangu na kumualika Lakini sasa najua Mfalme wangu mkombozi Kwa Mungu hutufikia Na kutuita kwa majina Kwa maana Yesu hukaribisha sisi sote nyumbani (Pambio 2x) |
Maneno ya Nyimbo: Siwezi kubadilisha yaliyopita
(Pambio) Siwezi kubadilisha yaliyopita ... .Yaliyopita yamepita Siwezi kubadilisha yaliyopita ... .Kwa kuwa maisha hayo yamepita Siwezi kubadilisha yaliyopita ... Lakini kwake nimeponywa Nami nitaanza upya (Pambio) Yesu alinipa maisha na akaniponya Alinichukua na kaokoa nafsi yangu Nami niko bora sasa kwasababu nilimwitikia Nina maisha mapya Nawezi kuanza (Pambio) Nitaanza upya (3x) Siwezi kubadilisha yaliyopita (3x) Kwake nimeponywa Nami nitaanza upya |