English: Sing along to the video or read the book!
Mikono ni ya kushikana
Mikono ni ya kushikana
Mikono ni ya kushikana
Kila
tunapokutana
Au tukivuka barabara
Na kukaa chini kula
Na kukaa chini kula
Mikono ni ya kushikana
Wakati twahisi vyema
Wakati twahisi vyema
Au tunaposema usiku mwema
Na kwa nguvu mtu kumshika
Mikono ni ya kushikana
Wakati machozi yanakauka
Au hofu kutuliza
Na Mungu kutusogea
Mikono ni ya kushikana